AyoTV

MBEYA: Dr. Tulia na Waziri Nape kwenye Tulia Marathon

on

March 11 2017 Naibu Spika wa Bunge Dr Tulia Ackson pamoja na Waziri Nape Nnauye waliungana na wananchi mbalimbali mkoani Mbeya na kufanya mazoezi ya kukimbia yaliyopewa jina la ‘Tulia Marathon’ ambayo lengo lake kubwa likiwa ni kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya Elimu na Afya.

Ayo TV inayo full video kukuonesha kila kilichotokea mwanzo mwisho na tayari nimekusogezea hapa chini…

VIDEO: Maswali kwa Ridhiwani ikiwemo ile ya kushikwa China, historia yake na mengine 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments