Michezo

Maradona kufanyiwa upasuaji wa Ubongo

on

Legend wa Argentina Diego Maradona yupo hospitali na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ubongo baada ya kubainika kuwa ana tatizo katika ubongo wake.

Maradona ambaye aliiongoza Argentina kushinda World Cup 1986, alifikishwa hospitali Jumatatu kwa tatizo la upungufu wa damu na baadae ndio akagundulika kuwa na tatizo katika ubongo.

Diego Maradona ambaye ana umri wa miaka 60 kwa sasa mapema Jumanne Daktari wale alitoa taarifa kuwa anaendelea vizuri lakini hakusema kama anatakiwa kufanyiwa upasuaju.

Soma na hizi

Tupia Comments