Michezo

Marcelo akana kumfuata Ronaldo

on

Beki wa Real Madrid Marcelo amekanusha taarifa kuwa yuko mbioni kundoka Real Madrid na kwenda  kujiunga na Juventus ya Italia.

Tetesi hizo zinakuja kwa sababu ya Marcelo kuhusishwa kuwa nafasi yake itakuwa na ushindani sana msimu ujao dhidi ya Ferland Mendy, Marcelo amekana taarifa hizo.

“Nimesikia miaka miwili iliyopita kuwa nimekubaliana kujiunga Juventus na kumfuata Cristiano (Ronaldo) Italia, watu wanafurahia kutengeneza hizi tetesi, sitaki kuondoka na sidhani kama (Real) Madrid wataruhusu niondoke bado nina furaha sana Madrid na sijakusudia kuondoka ”>>>Marcelo

Soma na hizi

Tupia Comments