Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Marekani ina jadili kuwawekea Watanzania vikwazo kuingia Marekani
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Marekani ina jadili kuwawekea Watanzania vikwazo kuingia Marekani
Top Stories

Marekani ina jadili kuwawekea Watanzania vikwazo kuingia Marekani

January 22, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Serikali ya Marekani ina mpango wa kuziongeza Nchi nyingine 7 ikiwemo Tanzania kwenye orodha ya Nchi ambazo Raia wake wamewekewa zuio/vikwazo vya kuingia Nchini humo.

Nchi nyingine kwenye hizo 7 ni Nigeria, Sudan, Eritrea, Myanmar, Belarus na Kyrgyzstan ambapo Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kwamba baadhi ya Nchi VISA zinaweza zisifungiwe kabisa bali zitakua ngumu kupatikana kwa masharti zikiwemo VISA za biashara na za matembezi.

Idara ya mambo ya ndani ilipotafutwa na Waandishi haikuwa tayari kujibu chochote kuhusu hili lakini kwa upande mwingine Maafisa kwenye Uongozi wa Rais Trump wamesema bado orodha haijakamilika kwani mpaka Jumanne jioni Ikulu ilikua bado inajadili kuongeza ama la Nchi nyingine moja au mbili ambapo pia Nchi nyingine kwenye hii orodha zitafungiwa kushiriki bahati nasibu ya Green Card.

Ripoti imesema baadhi ya Nchi hizi 7 Raia wake wameongoza kwa kupitiliza muda wa kukaa Marekani kulingana na VISA walizopewa ambapo kwa mwaka 2018 asilimia 24 ya Raia wa Eritrea walipitiliza siku za kukaa Marekani, Nigeria 15%, Sudan 12%.

TAARIFA MPYA KUTOKA IKULU, RAIS MAGUFULI ATUMBUA KIGOGO, ATEU WENGINE WANNE

You Might Also Like

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 22, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE MAGAZETI: Dk Bashiru amchapa Kikwete, Machungu ya kuzimwa laini za simu
Next Article Hamis wa BSS kapata Division zero “Bibi niandalie shamba narudi kulima” (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?