Jumla ya wakimbizi 257 wamepelekwa nchi ya tatu ambapo 207 wameenda Marekani,34 nchini Canada na 16 wakielekea nchini Sweden kuanzia tarehe 1 mpaka 24 Januari,2025 huku serikali ikitangaza suluhisho la kudumu juu ya urejeaji wa wakimbizi wanaohifadhiwa katika makambi mbalimbali nchini ambapo itapitisha zoezi la kumhoji mkimbizi mmoja mmoja sababu inayomfanya asirejee nchini Burundi huku serikali ya Burundi ikikiri kurejea kwa amani na utulivu na kuwataka raia wao kurejea nyumbani ili waweze kujenga nchi.
TAZAMA ZAIDI..