Mix

Aliamua kuchukuwa maisha ya baba yake mzazi na mtoto wake kwa sababu hii…

on

Deadly-Women

Stori kutoka Marekani iliyonifikia muda sio mrefu inamhusu mwanadada Cheyanne Jessie 25, aliyeshitakiwa kwa kumuua mtoto wake wa miaka 6 kwa sababu alikuwa hataki mtoto huyo aingilie mapenzi yake na boyfriend wake.

25 US

Cheyanne Jessie

Licha ya kumuua mwanae, Cheyanne aliamua pia kuchukua maisha ya baba yake aliyekuwa na umri wa miaka 50 kwa hofu hiyo hiyo pia kuwa na mzee wake nae ataingilia kati mapenzi yake na boyfriend huyo.

25 us2

mtoto na baba wa Cheyanne Jessie

Baada ya kuwaua  mwandada huyo alisema aliiweka miili yao kwenye mifuko migumu ya plastic njama aliojifunza kupitia show ya TV iitwayo Criminal Minds.

>>>“alikuwa hampendi mwanae, alikuwa hata hamjali. Mwisho wa siku akapata mpenzi ambaye hapendi watoto na ili kuokoa mahusiano yake na huyu mwanaume akaamua kumuua mwanae na njama aliyoitumia amesema aliijua kwa kuangalia kipindi cha Criminal Minds kwenye Tv… hata hivyo baba yake alikuwa hampendi huyo kijana akaona bora na yeye amuue pia”.<<< Sheriff Police.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments