Habari za Mastaa

Marioo katuletea wimbo mpya “Beer tamu” unaweza ukausikiliza hapa

on

Ni Mklai kutokea Bongo flevani, Marioo ambae time hii ametuletea wimbo wake mpya Beer tamu ukiwa umetayarishwa na Tyler ICU X Visca & Abbah Process.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza hapa kisha usisahau kuandika neno lololote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

TAZAMA VIDEO HARMONIZE ALIVYOPIGIWA SHANGWE MAREKANI, MASHABIKI WAMUITA “JESHI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments