Habari za Mastaa

Marioo kutoa burudani kali DAR, usiku wa leo Maison Club Oct 16

on

NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Marioo ambapo kwa mara ya kwanza atawaaimbia mashabiki watakaofika leo Octoba 16, 2021 Maison Club DSM.

Marioo ataimba live wimbo wake unaotamba kwa jina la Beer Tamu.

Mbali na show hiyo pia kutakuwa na suprise mbalimbali, Maison Club ipo Masaki mkabala na Sea Cliff Hotel Dar es Salaam.

MBWEMBWE ZA MARIOO UWANJANI AKISINDIKIZWA NA PIKIPIKI KWENYE SIMBA DAY

 

Soma na hizi

Tupia Comments