Ni Usiku wa kuamkia July 30, 2022 ambapo mkali kutokea Bongo Flevani, Marioo alitoa burudani ya nguvu katika Club maarufu iliyopo Dar es Salaam iitwayo Maison.
Club hiyo ipo mkabala na Sea Clif Hotel na hapa unaweza ukatazama hapa ushuhudie alivyoimba na mashabiki zake wimbo wake uitwao Dear EX.