Habari za Mastaa

Hiki ndicho kilichozaliwa kwa Marlaw,baada ya ukimya wake.

By

on

marlowHuu ni wimbo mpya wa Marlaw ambao rasmi kauachia leo maalum kwa mashabiki wake wanaofatilia muziki wake,marlaw kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kiume,mpaka sasa sababu kubwa ya ukimya wake Marlaw amesema ni majukumu ya kifamilia na mambo mengine binafsi,wimbo unaitwa NO-GO.

Bonyeza play kusikiliza wimbo huu mpya wa Marlaw.

Tupia Comments