Michezo

Hii ndio habari ya Martial wa Man United inayoweza kuwagharimu wenye gazeti …

on

Gazeti la The Sun lilimuweka kwenye headlines mkali wa kucheka na nyavu wa Man United, baada ya kumuandika kuhusu stori za usaliti wa mapenzi. Mastaa wa soka huwa wanaingia kwenye headlines za usaliti wa mapenzi aliwahi kuingia katika headlines hizo John Terry wa Chelsea ila yeye kulikuwa na ushahidi sasa ni Anthony Martial wa Man United.

a

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa anatajwa kumsaliti mpenzi wake Samantha, The Sun liemuandika Anthony Martial kumsaliti mkewe kwa mwanamitindo. Kitendo hicho cha The Sun kumuandika Martial ambaye mashabiki wa Man United wanaamini ni mambo yake binafsi kinaweza kukigharimu chombo hicho kama Martial akiamua kukifungulia mashitaka.

sdf

Mambo kama hayo ya Martial hayakupaswa kuwekwa hadharani hata kama wanachosema kingekuwa kweli, na inatajwa kuwa watachukuliwa hatua kwa habari yao hiyo, ambayo inatajwa kuandikwa ili kuuza gazeti na inaonekana kama hakuna ushahidi.

Screen-Shot-2016-01-10-at-12.05.46-AM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments