Michezo

Martial alikataa kuwa sehemu ya mchezo wa Man U vs Aston Villa

on

Kocha wa muda wa Man United Ralf Rangnick amesema kuwa mshambuliaji wake Anthony Martial hakutaka kuwa sehemu ya mchezo wa Man United vs Aston Villa uliyomalizika kwa sare ya 2-2, inadaiwa anashinikiza kuondoka.

Ralf alikiri December 2021 kuwa Martial ameomba kuondoka Man United na Sevilla wanahusishwa kumtaka kwa mkopo ila Man United hawakoa radhi kumuachia.

Kocha Ralf leo alikuwa na wachezaji pungufu katika benchi dhidi ya Aston Villa sababu  ya Martial kutoka kubali kuwa sehemu ya mchezo, Man United walikuwa na wachezaji 8 benchi badala ya 9 kama ambavyo inaruhusiwa.

Soma na hizi

Tupia Comments