Ni Octoba 5, 2022 ambapo Masanja amesimama mbele ya Kanisa lake liitwalo Feel Free Church kuzungumza yake yanayoendelea mitandaoni kuhusiana na Mkewe.
Ikumbukwe hapo awali ilidaiwa Katibu wa Kanisa hilo aitwa Joas Steven alijinyonga na kuacha ujumbe unaoashiria kumtaka kimapenzi mke wa Masanja aitwae Monice.
Kwa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi na zaidi.