AyoTV

AUDIO: Baba mzazi wa Marehemu Bondia Thomas Mashali kayaongea haya

on

Tanzania imepata msiba wa bondia Thomas Mashali ambaye inadaiwa aliuwawa kwa kusingiziwa kuwa mwizi eneo la Kimara Dar es salaam usiku wa October 30 2016.

Polisi wamesema taarifa ya kifo chake itatoka Jumatano lakini baba yake mzazi amesema tayari wanaodaiwa kumuua wameshaanza kukamatwa.

“Kwa mara ya mwisho Mashali tulikuwa nae jana katika vikao vya michezo yao hii akaniambia kuna mtu anataka kunipromote anaitwa Sadiki Kinyogoli nikamwambia namfahamu, baadae nikampigia akaniambia baba bado nipo kwenye kikao”

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments