Jumla ya mashabiki nane wa sokawatapara fursa ya kutembelea nchini Dubaiendapowatashinda tiketi kupitia promosheni ya Dubai Kumenoga ilitoziduliwa na kampuni ya michezo yakubahatisha Parimatch kwa kushirikiana na AirtelTanzania kupitia huduma za Airtel Money.
Promosheni hiyo ni muendelezo wa kampeni kubwailiyomalizika ya Zigo la Euro 2024 nchini Ujerumaniambapo mashabiki wa soka walishinda zawadimbalimbali.
Meneja Masoko wa Parimatch, Levis Paul amesemakuwa dhumuni kubwa ya promosheni hiyo ni kuwapawateja wa Parimatch thamani na kukata kiu ya ndotoza watanzania wanaotamani kusafiri kwenda Dubai kwa mapumziko.
“Promosheni hiii ni mahususi kwa wateja wetu wotewa Parimatch na wanaotumia mtandao wa Airtel Money wenye akaunti na hata wateja wapyawatakaojiunga kw sasa.
Lengo letu ni kuwawezesha kuendelea kucheza nakufurahia burudani kabambe za falme za kiarabu(Dubai). Kuanzia Agosti 7 mpaka Oktoba 6, mteja waParimatch akifanya ubashiri wake kwenye mchezowowote wa soka kupitia tovuti www.parimatch.co.tz au App yetu ataingia kwenye droo na kuweza kushindatiketi,” alisema Levis.
Alisema kuwa vile vile kwa asiyekuwa mteja waoanaweza kushiriki kwa kujisajili kupitiawww.parimatch.co.tz na kuweka pesa kupitia airtelmoney na kuweka ubashiri katika mechi yeyote. Kadriunavyoweka beti zaidi ndivyo unajiongezea nafasi yakujishindia tiketi ya kwenda Dubai au kujishindia pesataslimu kiasi cha Sh50,000 kila siku hadi Sh200,000”alisema Levis.
Levis pia alisema kuwa mteja anaweza kujisajilikupitia menu ya Airtel Money, mteja anaweza kufuatanjia hizi ili kuweza kuweka pesa yake na kuanzakusuka mkeka wa ushindi *150*60# kisha namba 4 lipa bill, weka code za 351144 unaweza kuweka pesana kushinda kushinda safari ya kwenda Dubai au pesataslimu kutoka katika droo ya siku husika yapromosheni
Pamoja na hayo, Levis amewataka Watanzaniakiujumla kuchangamkia fursa hiyo ya kipekee kwakubeti na Parimatch ili wawe miongoni mwa washindiwatakaobahatika kujishindia safari ya kupelekwaDubai na Parimatch kula bata huku gharama zotezikiwa zimelipiwa.
Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo yakubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa yabonasi ya Ukaribisho ya 125% hadi kufikia TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nao!
Parimatch imekuwa ikifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 2019, ikitoa huduma nzuri ikijumuishamalipo ya haraka, odds kubwa na promosheni zakusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual. Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamiaya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wavikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi yaLive na pre-match.