Michezo

Picha za mashabiki wa Azam FC waliofurika uwanja wa ndege kuisubiri timu yao

on

10014646_10203375279610005_6518411106269941460_n

Umati wa mashabiki wa Azam FC wamefurika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam wakiisubiri timu yao inayotokea jijini Mbeya kuwasili wakiwa wametazwa kuwa mabingwa wapya wa Vodacom Premier League.

Azam FC jana walitawazwa kuwa mabingwa wapya baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Mbeya City.

1551479_10203375277289947_2283527863679780336_n

10155723_10203375287570204_2290232157453347263_n

10167990_10203375283370099_3096012287134910944_n

Tupia Comments