Michezo

Mashabiki wa Man United waandamana

on

Mashabiki wa Man United wamevamia Uwanja wao wa Old Trafford kama sehemu ya maandamano yao ya kushinikiza familia ya Glazer (wamiliki) iwaachie Club yao.

Vuguvugu la shinikizo hilo lilianza pale familia ya Glazer ilipobariki Man United kushiriki European Super League michuano ambayo inapigwa na FIFA na UEFA.

Hata hivyo inadaiwa mashabiki wengine wako katika hotel ya timu, ikiwa zimesalia saa chache kabla ya mchezo wa Man United vs Liverpool kuchezwa saa 18:30 EAT.

Soma na hizi

Tupia Comments