Mix

Maeneo 7 yatakayotekelezwa na Bajeti ya Bunge la A. Mashariki 2017/18

on

Bunge la Afrika Mashariki limepitisha Bajeti ya Dollar 110.13m kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 ambazo zitagawanywa katika maeneo Saba ambayo yataingizwa kwenye utekelezaji katika mwaka huo wa fedha.

Maeneo yatakayoshughulikiwa na Bajeti hiyo ni pamoja na Utawala ambao umetengewa Dollar 60m, Bunge Dollar 18m, Mahakama ya EAC Dollar 4m na Miradi ya bwawa pamoja na Ziwa Victoria Dollar 12m.

Maeneo mengine ni Baraza la Vyuo Vikuu la EAC lililotengewa Dollar 6.8m, Sayansi na Teknolojia Dollar 1.5m na Utafiti wa Afya Dollar 2.2m.

VIDEO: Mbunge CHADEMA dakika chache kabla ya taarifa za kifo cha baba yake

 

Soma na hizi

Tupia Comments