Top Stories

Mashambulizi Ukraine: Act Wazalendo waishauri Serikali ‘Watanzania wafuatwe’

on

Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Ukraine na Urusi kuchukua hatua za dharura na haraka kutuma Ndege kwa ajili ya kuwaondoa Raia wa Tanzania waliopo Ukraine mapema iwezekanavyo na kuwarejesha nyumbani kabla ya hali ya kivita haijapamba moto, kama wafanyavyo Nchi zingine.

Stori kamili nimekuwekea hapa unaweza ukabonyeza playa kufahamu walichokizungumza ACT Wazalendo.

Soma na hizi

Tupia Comments