Videos

Video: Ben Paul anatualika kutazama utengenezwaji wa ‘Moyo Mashine’

on

Msanii wa muziki wa R&B Ben Paul baada ya kuachia video yake ya Moyo Mashine leo June 2 2016 anatualika kutazama jinsi video yake hiyo ilivyokuwa inatengezwa chini ya Direcor Nicroux, location ikiwa ni South Africa

Behind the sceene ya Moyo Mashine

Ben Pol – MOYO MASHINE (Official Video)

ULIMISS JIBU LA  AUNTY EZEKIEL KUHUSU NDOA NA MOSE IYOBO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments