Vituko/ Comedy

VideoFUPI: Masanja akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa, kaanza na MC pilipili

on

Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alizimiliki headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa.

Unaweza kuitazama hapa chini

ULIKOSA HII YA MC PILIPILI KWENYE HARUSI YA MASANJA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments