AyoTV

VIDEO: “Wananchi wanaendelea kulia, katika hili bado hatujafaulu” – Kiteto

on

Habari kubwa kutoka Bungeni Dodoma leo June 16, 2017 ni maoni ya Wabunge kuchangia kwenye Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 na miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Kiteto Koshuma ‘CCM’ ambaye kati ya vitu alivyogusia ni deni la Taifa linaloongezeka kila siku…

VIDEO: Matatu makubwa ya Makamu wa Rais kwenye Siku ya Mtoto wa Afrika 

Soma na hizi

Tupia Comments