Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Sports

Mason Greenwood afutiwa mashtaka

February 2, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mshambuliaji wa Man United Mason Greenwood (21) baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akikabiliwa kesi ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia leo amefutiwa mashtaka.

Staa huyo alikuwa nje ya uwanja tangu January 2022 baada ya mpenzi wake Harriet Robinson kusambaza video ikimuonesha kuwa Mason amempiga na kumuumiza vibaya, tukio ambalo lilipelekea kufunguliwa kesi ya jaribio la kubaka na unyanyasaji.

Waendesha mashtaka nchini Uingereza wameeleza kuwa mashitaka dhidi ya Mason yamefutiliwa mbali baada ya shaidi Mkuu kutokuwa na nia ya kuendelea kujihusisha na kesi hiyo, hivyo Mason anatarajiwa kuonekana tena Man United baada ya awali club kumsimamisha.

You Might Also Like

Nimekuwekea Ratiba ya Mechi za Championship League, mtanange ni mkali

Kutokea China: Silent Ocean wametuonyesha namna wanavyopakia Mizigo ya Wafanyabiashara kuelekea Tanzania

Silent Ocean ‘Simba wa Bahari’, wametuonesha kila namna walivyompitisha mteja mpaka kufanikisha kile alichokihitaji

PICHA: GSM FC wazindua jezi mpya Ramadhan Cup

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

TAGGED: Sports
Rama Mwelondo TZA February 2, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
Next Article Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?