Top Stories

Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio)

on

Baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Oktoba 25, 2015 kisha matokeo kutangazwa, matukio mbalimbali yaliibuka ikiwa ni pamoja na baadhi ya wagombea walioshindwa kuamua kwenda mahakamani kupinga uhalali wa matokeo.

Mmoja kati ya hao alikuwa Didas Massaburi aliyekuwa mgombea ubunge Ubungo kupitia CCM akipinga ushindi wa  Said Kubenea wa Chadema.

Na sasa kaamua kufuta kesi hiyo, nini sababu za kufanya hivyo? majibu yako hapa chini ukibonyeza Play

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments