Habari za Mastaa

Mastaa Quick Rocka, Mimi Mars, Lulu Diva na TID kwenye tamthilia moja, mtayarishaji kafunguka

on

Jua Kali ni Tamthilia mpya itakayoanza kuoneshwa hivi karibuni kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV iliyohusishwa mastaa mbalimbali akiwemo Mimi Mars, TID, Mshereheshaji Gara B, Quick Rocka, Dorah, Romy Jons na wengineo.

Sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com ilimpata mtayarishaji wa tamthilia hiyo mpya aitwae Lamata na kusema..’ Jua Kali ni Tamthilia nzuri sana itakuwa inaoneshwa kupitia channel ya Maisha Magic ya DSTV kila msanii amebeba husika wake, tamthilia hiyo itakuwa inaoneshwa Jumatano saa tatu na nusu, Alhamisi na Ijumaa saa tatu na nusu’- Lamatta

BEN POL KACHEZA MOVIE MOJA NA MKEWE, KAFUNGUKA USIYO YAJUA KUHUSU NDOA YAO “NYUMBA YANGU IKO IMARA”

Soma na hizi

Tupia Comments