Michezo

Fashion Police wametaja mastaa wa soka wanaopendeza na wasiopendeza Messi, Ronaldo na Neymer wamo pia

on

Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana nayo hii ya mastaa wa soka wanaovaa vizuri na wasio vaa vizuri, yaani kwa maana nyingine ni kuwa wanaopendeza na wasiopendeza, kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa ESPNFC umetaja list ya mastaa ambao wanatupia ila wamo ambao wasiopendeza licha ya kuwa na uwezo mkubwa uwanjani sio kila kitu utakiweza.

Uwezo wao haukuishia uwanjani pekee hadi katika masuala ya mavazi wameonekana kupendeza zaidi

download

Andrea Pirlo mchezaji wa New York City

 

download (1)

Xabi Alonso mchezaji wa FC Bayern Munchen

download (2)

Gerard Pique kutokea katika klabu ya FC Barcelona

download (3)

Cristiano Ronaldo wa Real Madrid

 

Umahiri ni uwanjani ila katika masuala ya mavazi wapo nyuma na wanatajwa kutopendeza kwa mavazi hayo kwa mujibu wa fashion police wa ESPNFC

download (1)

Neymer da Silva kutokea FC Barcelona

download (2)

Dani Alves wa FC Barcelona

download (3)

Lionel Messi mchezaji wa klabu ya FC Barcelona

download

Alexandre Song mchezaji wa FC Barcelona

 

Mwisho kabisa Fashion Police wameshindwa kuwatambua Karim Benzema na Mario Balotelli wawe kundi lipi la waliopendeza au wasiopendeza

download

Mario Balotelli kutoka Liverpool

download (1)

Karim Benzema mchezaji wa klabu ya Real Madrid

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments