Michezo

Mkali mwingine aliyesajiliwa na Manchester United huyu hapa…

on

mateo

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa TorinoMatteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.

Mchezaji huyo  ambaye ameichezea klabu yake mechi 146 na kuifungia mabao matano wakati akiwa na timu hiyo na sasa amekubali Mkataba wa miaka minne Old Trafford.   

Kocha wa Man Luis Van Gaal amefurahishwa na ujio wa mchezaji huyo huku mwenyewe akisema ilikuwa ni ndoto yake kuichezea United.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments