Michezo

Matokeo ya Droo ya robo fainali ya Carabao Cup

on

Baada ya mchezo wa mwisho wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Carabao kumalizika kwa Arsenal kupata ushindi wa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika 0-0.

Ilichezeshwa droo na kupanga timu zote nane zitakutana na nani, timu zilizokuwa zimefuzu ni Arsenal, Man City, Tottenham, Newcastle United, Stoke City, Everton, Man United na Brentford na matokeo ndio haya.

Soma na hizi

Tupia Comments