Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Matokeo ya Kombe la FA kwa mechi za leo.
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Matokeo ya Kombe la FA kwa mechi za leo.
Sports

Matokeo ya Kombe la FA kwa mechi za leo.

January 4, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

arssenal

Mzunguko wa nne wa mashindano ya kombe la chama cha soka nchini England maarufu kama FA Cup umeanza hii leo kwa michezo kadhaa iliyopigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini humo .

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja wa Ewood Park mabingwa wa ligi ya England kwa msimu wa mwaka 94/95 Blackburn Rovers ambao siku hizi wanacheza ligi daraja la kwanza Blackburn Rovers waliwabana Manchester City kwa kuwalazimisha  sare ya 1-1 .

 City ndio walioanza kufunga kupitia kwa mshambuliaji wa kimtaifa wa Hispania Alvaro Negredo kabla Blackburn hawajasawazisha kupitia kwa Scot Dunn .

Matokeo haya yanamaanisha kuwa timu hizi zitarudiana katika mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Manchester City wa Etihad katika tarehe itakayopangwa hapo baadaye.

Katika mchezo mwingine mkubwa wa mashindano hayo ya kombe la FA uliopigwa hii leo (Jumamosi) Arsenal wamewafunga watani wao wa jadi Tottenham Hotspurs kwa matokeo ya    2-0.

Mabao ya Arsenal kwenye mchezo huo yalifungwa na Santiago Cazorla na Tomas Rosicky.

You Might Also Like

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Pep Guardiola awaonya Manchester City dhidi ya mchezo wao jumamosi hii

FA CUP: Haaland hana hofu kwa Man Utd, – Varane

Mashabiki wa soka nchini china kulipa zaidi ya Million 1 kumuona Messi

Rais wa FIFA Gianni Infantino aipongeza Young Africans ,ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23

Millard Ayo January 4, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Unataka kujua takwimu za Ajali za Treni Tanzania mwaka 2013? ziko hapa
Next Article Robert Lewandowski asaini kuichezea Bayern Munich.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?