Michezo

Matokeo ya mechi za UEFA November 3, Liverpool ikiua Atalanta

on

Mechi za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2020/21 zinaendelea kuchezwa kama kawaida.

Usiku wa November 3 2020 zilichezwa jumla ya game 8 katika viwanja mbalimbali Ulaya lakini kama ulikosa mechi hizo sio kesi unaweza kutazama matokeo hapo chini.

Ni game tatu pekee ndio zimemalizika kwa ushindi wa magoli mengi ambapo ni game ya Shakhtar wakiwa nyumbani wamefungwa 0-6 na Mönchengladbach, RB Salzburg wakiwa nyumbani kwao wamfungwa 2-6 na Bayern Munich huku Liverpool nao wakiwa ugenini wameichapa Atalanta 5-0.

Soma na hizi

Tupia Comments