Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC, Mangungu minne tena
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC, Mangungu minne tena
Sports

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC, Mangungu minne tena

January 30, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC Boniface Lihamwike mara baada ya zoezi la kuhesabu na kujumlisha kura ametangaza washindi wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu Simba SC.

Boniface amemtangaza Murtaza Mangungu kuwa mshindi wa nafasi ya Uenyekiti kwa kura 1311 dhidi ya Moses Kaluwa aliyepata kura 1045.

Wajumbe ni Dr Seif Ramadhani Muba aliyepata kura 1636, Asha Baraka aliyepata kura 1564, CPA Issa Masoud aliyepata kura 1285, Rodney Chiduo aliyepata kura 1267 na Seleman Harubu aliyepata kura 1250.

You Might Also Like

Nimekuwekea Ratiba ya Mechi za Championship League, mtanange ni mkali

Kutokea China: Silent Ocean wametuonyesha namna wanavyopakia Mizigo ya Wafanyabiashara kuelekea Tanzania

Silent Ocean ‘Simba wa Bahari’, wametuonesha kila namna walivyompitisha mteja mpaka kufanikisha kile alichokihitaji

PICHA: GSM FC wazindua jezi mpya Ramadhan Cup

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

TAGGED: Sports
Rama Mwelondo TZA January 30, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Kutoka kwenye Usiku wa The After Party ya Marioo Elements Bar Masaki
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 30, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?