Michezo

Full Time ya Maji Maji FC Vs African Sports (+Pichaz)

on

Miongoni mwa mchezo mwingine uliochezwa October 17 ni mechi kati ya Maji Maji FC dhidi ya African Sports katika uwanja wa Maji Maji Songea. African Sports ambayo ipo nafasi ya tatu kutoka mwisho iliingia kwa juhudi ya kutaka kushinda mchezo huo katika uwanja wa ugenini ili kujiweka katika nafasi nzuri katika msimamo wa Ligi Kuu.

DSCI0030

Mechi nyingine iliyochezwa leo October 17 ni Maji Maji FC wameendeleza rekodi ya kufanya vizuri katika uwanja wao wa nyumbani chini ya kocha wake wa kigeni Finland Mika Lonnstorm kwani waliibuka na ushindi wa goli 1-0, hivyo kwa sasa Maji Maji FC wanafikisha jumla ya point 10.

DSCI0029

Maji Maji FC walionekana kuonesha jitihada za dhati licha ya African Sports kujilinda ili wasipoteze mchezo huo, dakika ya 82 Hassan Hamis anapata nafasi ya kupachika goli la kwanza kwa Maji Maji FC goli ambalo lilidumu kwa dakika zote 90 na kufanya Maji Maji FC kubaki na point zote tatu.

DSCI0024

DSCI0023

DSCI0007

DSCI0005

DSCI0004

DSCI0006

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

Tupia Comments