Michezo

Liverpool Vs Arsenal matokeo yalikuwa hivi (Pichaz & Video)

on

August 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates wenye  uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000. Mechi hiyo ambayo ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa mashabiki wa Ligi Kuu Uingereza.

during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

Mashabiki walikuwa na kiu ya kukosa mechi za Ligi Kuu kwa muda ila kwa bahati mbaya mechi hiyo ya Arsenal dhidi ya Liverpool imemalizika kwa sare ya kutofunga goli (0-0).

Nazisogeza karibu yako picha za mechi hiyo mtu wangu

during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

Generated by IJG JPEG Library

during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

Highlights za mechi hiyo

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments