Michezo

Matokeo ya Ligi kuu ya Uingereza, Man City, Swansea, Southmpton, Newcastle

on

1509726_727992070554575_2072839655_nLigi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier league imeendelea leo tena mchana kwa mechi 7 kupigwa katika viwanja tofauti nchini na matokeo yapo kama yafuatavyo.

Fulham 1-0 Newcastle
Everton 2-1 Cardiff
Southampton 4-2 Norwich
Stoke 3-1 West Ham
Swansea 1-2 West Brom
Sunderland 0-0 Crystal Palace 

Tupia Comments