Michezo

Matokeo ya FC Barcelona vs Real Betis kwenye La Liga haya hapa

on

1794668_10152465192089305_406220896_nFC Barcelona leo imeendeleza wimbi la ushindi katika La Liga baada ya kuifunga Real Betis mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa katika la Camp Nou, Barcelona Spain.

Magoli ya Barcelona yalifungwa na Lionel Mess aliyefunga mawili, na moja walijifunga wenyewe Betis kupitia Figueras, goli la kufutia machozi la Betis lilifungwa na Ruben Castro.

Tupia Comments