Michezo

Kama ulimis michezo ya EPL wikiendi hii, nimekuwekea videos za magoli ya michezo yote hapa

on

article-2592201-1CAAF03100000578-550_964x386Ligi kuu ya England iliendelea wikiendi hii, na Liverpool waliendeleza rekodi yao ya ushindi na kufanikiwa kupaa kileleni, Man City walitoka sare na Arsenal, Manchester United walibamiza Aston Villa huku Mourinho akikata tamaa ya kutwaa ubingwa kwa kipigo kutoka kwa Crystal Palace. Tazam video za magoli ya michezo yote mikubwa iliyopigwa EPL wikiendi ya jana.

MANCHESTER UNITED VS ASTON VILLA

CRYSTAL PALACE VS CHELSEA

MAN CITY VS ARSENAL

Tupia Comments