Michezo

Matokeo ya Yanga vs Rhino Rangers ya Tabora

on

Screen Shot 2014-03-22 at 6.48.36 PMKlabu bingwa ya ligi kuu ya Vodacom  Dar Young Africans leo imeendeleza ushindi katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom ambapo imefanikiwa kuifunga Rhino Rangers ya Tabora 3-0 kwenye game iliyochezwa Tabora.

Mabao ya Yanga yalifungwa na Hussein Javu, Jerry Tegete na moja alijifunga mchezaji wa Rhino Labana.

Tupia Comments