AyoTV

Video: Samatta kwenye gari la Waziri wa michezo alivyoitembeza tuzo yake Dar akisindikizwa na Polisi

on

January 9 2016 mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa Wachezaji wa ndani Mbwana Samatta aliungana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye na Watanzania wengine kusherehekea ushindi wa tuzo yake ambapo msafara ulianzia town Dar es salaam mpaka Escape One Mikocheni.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments