Habari za Mastaa

Maua Sama kazungumza kuhusu mkongwe Dully Sykes (+Video)

on

Mwimbaji Maua Sama amefunguka kuhusu kufanya kazi na Mkongwe Dully Sykes na kusema anafurahia kuona yeye ni Mtu pekee ambaye Dully amemfollow Instagram.

Maua amewaomba pia Mashabiki wampigie kura kwenye African Ent. Awards USA (AEAUSA), ambapo ameingia mwaka huu kupitia kipengele cha Best Female Artist.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments