Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM, linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Mohammed Jumaa kwa tuhuma za mauaji ya Walinzi wawili wa Kampuni ya Forte Security ambao ni Eliakimu Moro na Sanko Bakary.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Agosti 26, 2021 saa 12 jioni maeneo ya Tungi Wilaya ya Kigamboni.
“TULIKUWA TUNAISHI NAE KWA AMANI”-STEVE AKIMZUNGUMZIA HAMZA ALIEFARIKI KWENYE MAJIBIZANO YA RISASI
“ANGEKUWA HAI TUNGEFAIDIKA NAE KWA MAMBO MENGI, POLISI WAMETUMIA BUSARA NA KAZI KUBWA”———RC DSM
“NILIKUA KARIBU, KAMA MSOMALI KONDAKTA, ABIRIA WAMEKIMBIA” DEREVA “TUKIO LANGU LA PILI”
ALIESHUHUDIA ASIMULIA MWANZO MWISHO “NILIMPA NGUO AJIFUNIKE ASIJULIKANE”
TAZAMA FAMILIA YA HAMZA ALIYEUA ASKARI ILIVYOBEBWA NA POLISI, NYUMBA YAFUNGWA
MAJONZI MSIBANI..!! ASKARI ALIYEUAWA KWA BUNDUKI, ALIKUWA TEGEMEO, BABA YAKE KAFUNGUKA