Top Stories

MAUAJI SINZA: Ammiminia mwenzie risasi nyingi nae ajiua (+video)

on

“Alex maarufu Simba alifika eneo letu la Baa saa nne asubuhi na kupaki gari yake nje akawa anaongea na Watu tofautitofauti, wengine kwa furaha wengine kwa jazba…… baadae alikuja akasema hapa kuna Afisa Usalama, zima Redio… mziki ulivyozimwa akapiga risasi juu, Watu wakaanza kusambaratika………”

Hayo maneno hapo juu ni sehemu ya alichosimulia Meneja wa Baa iliyopo Sinza kwa Remi Dar es salaam ambako Mteja mwenye bastola alifyetua risasi na kumuua Mteja mwingine kabla ya yeye kujiua

Soma na hizi

Tupia Comments