Top Stories

Mauaji Zanzibar:Dada wa kazi alisingiziwa, siri yafichuka “Mume ndio anadaiwa kuhusika”

on

Baada ya tukio la Zulfat Sheikhani Rashid kushambuliwa kwa kupigwa na mapanga hadi kufariki taarifa za awali zilikuwa zinadai ameuawa na Dada wa Kazi lakini Polisi Zanzibar wamekuja na taarifa mpya kwamba anayedaiwa kuua ni Mume wa Marehemu.

BREAKING:MO DEWJI ATANGAZA KUJIUZULU KATIKA NAFASI HII SIMBA SC

Soma na hizi

Tupia Comments