Habari za Mastaa

Sikiliza hapa Wimbo mpya wa Walter Chilambo Mavela.

By

on

Walter ChilamboHuyu ni moja kati ya mazao yaliyotoka kupitia mashindano ya Bongo Star Search na Walter alitoka mwaka 2012,hii ni baada ya nyimbo zake kadhaa baada ya Siachi,Mi ni wako,Doro na zingine kibao.

February 25 Walter Chilambo anagonga mhuri mwingine kwenye Dunia ya muziki,hii inaitwa Mavela.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments