AyoTV

VIDEO: Baada ya Young Dee msanii anayesimamiwa na Max kwa sasa

on

Baada ya Mkali kutoka Bongoflevani kuacha kusimamiwa kazi zake na aliyekuwa na Meneja wake Maxmilian Rioba, Ayo TV Entertaiment imekutana na Max na amemtaja msanii mwingine aliyekuwa chini yake kwa sasa.

Ulimiss EXCLUSIVE: Majibu ya Diamond kuhusu bei ya Perfume yake kuwa ni gharama sana itazame hii video hapa chinii…

Soma na hizi

Tupia Comments