Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 14: Kutoka kwenye Maadhimisho ya May Mosi, Mwanza
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 14: Kutoka kwenye Maadhimisho ya May Mosi, Mwanza
Mix

PICHA 14: Kutoka kwenye Maadhimisho ya May Mosi, Mwanza

May 1, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo May 1, 2017 Tanzania imeunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Ushirika wilayani Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli.

Kila ifikapo May 1 kila mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Wafanyakazi ikiwa ni kutambua, kuthamini, kujali na kuheshimu mchango wao katika maendeleo ya Dunia kwa ujumla ambapo katika kuiadhimisha siku hii Tanzania imekuwa na kauli mbiu inayosema: ‘Uchumi wa Viwanda uzingatie  Haki, Maslahi na Heshima kwa Wafanyakazi’.

Hizi ni picha 4 za maadhimisho ya May 1 kutoka mkoani Mwanza ambazo zimefanyika katika uwanja wa CCM Kirumba na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa huo John Mongela.

VIDEO: Hotuba ya JPM kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani – Kilimanjaro. Bonyeza play kutazama…

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: Pichaz
Millard Ayo May 1, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article TOP 5: Marais watano wanaolipwa mshahara mdogo zaidi duniani, Afrika wapo wawili
Next Article VIDEO: “Sio lazima mgeni rasmi awe Waziri” – Margaret Sitta ‘MB’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?