Habari za Mastaa

Mayorkun kuachia album mpya “Back in Office” 29 Oct

on

Ni Staa kutokea nchini Nigeria Mayorkun ambae time hii ameeka hadhani cover ya album yake mpya aliyoipa kwa jina la Back in Office.

Staa huyo ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa instagrama kuwa ataachia album hiyo tarehe 29.Octoba na kuandika “Back In Office” – October 29th 💛🤞🏾” – Mayorkun

.

ALIYEWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA VERA SIDIKA AFUNGUKA KUVUNJIKA KWA PENZI LAO NA MENGINEYO

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments