Mali za Mastaa

Hii ndio zawadi ya Floyd Mayweather kwa mtoto wake aliyetimiza miaka 16…

on

Bondia maarufu zaidi duniani Floyd Mayweather haishiwi headlines kila wakati na mara nyingi zimekuwa zikihusisha utajiri wake.

Kingine kutoka kwa staa huyo katika ukurasa wake wa @Instagram amepost picha akiwa na mtoto wake wa kiume Koraun pamoja zawadi ya gari mpya aina ya Mercedes Benz C class yenye thamani ya dola 30,000 sawa na zaidi ya fedha za kitanzania milioni 60 aliyomnunulia mwanaye huyo baada ya kutimiza miaka 16.

Hii ndio zawadi inayodhaniwa kuwa ya gharama zaidi kwa staa huyo kuweza kumpa mtoto wake tangu alipotengana na mama wa mtoto huyo.

 

Happy birthday @KingKoraun Amir Mayweather. Love you, Champ. Follow my son: @kingkoraun

A photo posted by Floyd Mayweather (@floydmayweather) on

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokeamatukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayokwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments