Habari za Mastaa

Mazishi ya Cpwaa tazama mamia walivyojitokeza kumzika makaburi ya Magomeni DSM

on

NI Usiku wa kuamkia January 17, 2021 iliripotiwa Msanii wa Bongofleva Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa alifariki akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili. Sasa leo jioni yamefanyika mazishi yake katika makaburi ya Magomeni Dar es Salaam tazama hin video hapa ujionee namna watu mbalimbali walivyojitokeza kwenye mazishi.

MSIBANI: ALIKIBA NA MASTAA WENGINE WALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA MSANII CPWAA

MEENA ALLY MSIBANI KWA CPWAA, KAFUNGUKA ALIVYOMFAHAMU MAREHEMU

 

Soma na hizi

Tupia Comments