Top Stories

Mazishi ya Mama Rwakatare kufanyika eneo la Kanisa “watu kumi kushuhudia” (+video)

on

Spika wa Bunge Job Ndugai “Ofisi yangu imekuwa ikiendelea kuwasiliana na Familia ya Marehemu Mama Rwakatare wameomba ikiwezekana Mama yao azikwe kwenye eno la Kanisa la Mlima wa Moto na tarehe ya mazishi iwe keshokutwa April 23 siku ya Alhamisi, kwa hatua hii Serikali ndio itakayosimamamia mazishi hayo ambayo washiriki wake hawatozidi 10”.

MTOTO WA MAMA RWAKATARE ASIMULIA KILICHOMUUA MAMA YAKE “ALIOMBA CHAKULA, USIKU HALI ILIBADILIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments