Mix

Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo

on

6Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo
01Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya CCM Ramadhan Bwanamdogo aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze Mion, wilaya ya Bagamoyo.

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze.2

Rais Jakaya Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze aliyefariki dunia juzi.

05

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini katika kitabu cha maombolezo .

1

       IMG_9828

    9 8

7 5 04

Tupia Comments